The House of Favourite Newspapers

Simba Wazungumza Ujio Wa Al Hilal nchini Kucheza Februari 5 Uwanja wa Mkapa -Video

0

Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC tutakuwa wenyeji wao.

Wakiwa nchini watacheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Simba SC, Azam FC na Namungo FC. Mchezo wao na Simba dhidi ya Al Hilal utakuwa wa mwisho na utachezwa Februari 5, 2023 kwenye Uwanja wa Mkapa

Leave A Reply