The House of Favourite Newspapers

Simba Yaahirisha Jambo Lake

0

Muonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba zitakazotumika mechi za nyumbani msimu wa 2021/22 kwenye mashindano mbalimbali.

 

Wekundu wa Msimazi Simba SC wameahirisha tukio la uzinduzi rasmi wa jezi zao mpya lililokuwa lifanyike leo Jumamosi Septemba 4,2021 Dar es Salaam.

 

Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, September 13-19, 2021.

Leave A Reply