Simba Yamaliza Mazoezi ya Kuiangamiza Mtibwa Kesho

Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Uhuru kuanzia saa 10:00 jioni.

 

 


Loading...

Toa comment