The House of Favourite Newspapers

Simba Yamaliza Shughuli ya Morocco, Yarejea Bongo

0

Kikosi cha TImu ya Simba kimemaliza salama sehemu ya kwanza ya maandalizi kuelekea msimu ujao waliyokuwa wakifanya katika kambi yao waliyokuwa wameweka nchini Morocco.

 

Kikosi chote kitaondoka nchini humo leo Jumamosi kurejea Tanzania ambapo watawasili kesho kuendelea na maandalizi ya pili ya msimu.

 

Awamu ya pili ya Pre-Season itaanza baada ya kurejea kwa wachezaji wetu ambao wapo kwenye timu za taifa, na Simba imesema itatoa taarifa kambi itafanyika sehemu gani.

Leave A Reply