Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa

TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin  Mkapa.

 

Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele  kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3.

 

Matokeo ya Jumla ni 3-3 lakini Simba imetolewa kwa baada ya Galaxy kuwa na magoli mengi ya ugenini sasa Simba itacheza  kwenye michuano ya kombe la shirikisho.702
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment