Simba Yazindua Tawi Mjengoni

Klabu ya Simba leo Januari 29, 2020 imezindua tawi la Simba ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litakaloitwa “Wekundu wa Mjengoni”

Tukio hilo liloongozwa na spika wa bunge Mh. Job Ndugai limefuatiwa na zoezi la ugawaji kadi kwa wanachama wa Dodoma.

VIONGOZI
Mwenyekiti – Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa
Katibu Mkuu – Mh Spika Wa Bunge, Job Ndugai
M/Kiti Msaidizi – Mh. Mussa Zungu
Katibu Mkuu Msaidizi – Jumaa Aweso
Mtunza Fedha – Naibu Spika, Mh. Tulia Ackson

KAMATI TENDAJI
1. Richad Ndasa
2. Peter Msigwa
3. Januari Makamba
4. Zitto Kabwe
5. William Ngereja
6. Aziz Abood
7. Joseph Haule.

