The House of Favourite Newspapers

Video: Akiwa Mahakamani, Simu ya Rais wa Bolivia Yapiga Kelele za Watu Wakifanya Mapenzi

bolivian-president-evo-morales
HII ni miongoni mwa stori zilizotengeza headlines kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, siyo nyingine bali ni stori inayomhusu Rais wa Bolvia, Evo Morales.

 

Rais Evo Morales akiwa kwenye mahakamani kwenye kikao pamoja na wanasheria wa kimataifa alianza kuchezea simu yake ya mkononi ambapo ghafla kwa bahati mbaya alibonyeza ku-play videos kwenye simu hiyo ambapo zilisikika sauti za watu wakifanya mapenzi kwenye simu yake.

Bonyeza play hapa chini kutazama

Bolivian President Evo Morales Accidentally Opens Porn on the International Court of Justice

Comments are closed.