The House of Favourite Newspapers

SINGIDA YANYOOSHA MIKONO KWA FEI TOTO

Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga.
Uamuzi wa Singida United unatokana na taarifa kuwa, Fei Toto amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga baada ya ruhusa aliyopewa na mlezi wa Singida United, Mwigulu Nchemba.

Comments are closed.