The House of Favourite Newspapers

Sintah Afunguka Umaarufu Unavyomtesa, ”Sitaki Kudeti Na Staa”- Exclusive Video

0
Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah (kulia) akifanya mahojiano na mtangazaji wa Global TV Online, Imelda Mtema.

Msanii mkongwe wa maigizo nchini, Christina Manongi maarufu kama Sintah, ambaye hivi sasa ameachana kabisa na mambo ya sanaa, amefunguka kuwa umaarufu uliagharimu sana maisha yake na kubwa kuliko ni ‘kudeti’ na mtu maarufu kwa wakati huo, ambalo lilikuwa ni tatizo kubwa sana.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Global TV, Sinta alisema kuwa anamshukuru Mungu aliamua kugeukia upande mwingine na maisha yake yakawa tofauti kabisa.

Anasema hayatamani kabisa maisha yale ya nyuma aliyopitia ya umaarufu.

Leave A Reply