Softena: Mwanaume Ni Mkate Mbele Ya Mwanamke, Hawana Baya – Video
Global TV imefanya mahojiano na Kungwi anayetoa mafundisho ya elimu ya ndoa, Hidaya Alex almaarufu Softena na kueleza kwa undani zaidi malezi ya watoto ya kike na wakiume na maisha ya ndoa.