The House of Favourite Newspapers

Softena: Nikilegea Ndani ya Ndoa, Mume Wangu KNamruhusu Aende Nje – Video

0


Global TV imefanya mahojiano na Kungwi anayetoa mafundisho ya elimu ya ndoa Softena @softena100 na kueleza kwa undani zaidi kuwa yeye ni mjasiriamali na pia ni mwalimu wa somo la kiswahili.

Softena ameeleza zaidi kuhusu hali ya ndoa yake kuwa endapo atashindwa amemruhusu aende tu sehemu nyingine.

Leave A Reply