The House of Favourite Newspapers

Sokabet: Hivi Ndivyo Buku Itakavyokupa Sh Milioni 100

0

  1. Fungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www. sokabet.co.tz kupitia simu, kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na internet.

 

  1. Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa SMS (kama umeshajiandikisha huu mchakato haukuhusu, utaanzia namba 3).
  2. 3. Bonyeza ‘LOGIN’, andika namba ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, ikikubali utakuwa umefungua akaunti yako.

 

  1. Ingiza fedha kwa M-Pesa, piga piga *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’. Weka kiasi unachotaka, mfano Sh 1,000 au 5,000, kisha ingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.

 

  1. Ingiza fedha kwa Tigo Pesa, piga namba *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, ingiza kiasi cha fedha, andika neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigo Pesa.
  2. Ingiza fedha kwa Airtel Money, piga *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, weka kiasi cha fedha, ingiza kumbukumbu namba (ingiza neno ‘Sokabet’) kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

 

  1. Anza kubet kwa Sh 200 tu, ukiingiza fedha katika akaunti yako ya Sokabet, unaweza kuanza kubeti kipengele chochote unachotaka, kumbuka kiwango cha chini kabisa cha kubet ni shilingi 200 tu ndani ya Sokabet.

 

Ukitatizika popote wasiliana na huduma kwa wateja namba 0654705555 pia unaweza kuwasiliana nao bure kwa kuingia katika tovuti na kulia kwako utaona neno ‘online’, bonyeza hapo uanze kuchati na watoa huduma.

 

  1. Vipengele kibao, kuna michezo mingi unayoweza kubeti, baadhi ni soka, American Football, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

 

  1. Sokabet Jackpot ndiyo baba lao, unatakiwa kubeti mechi 13 tu kwa shilingi 1,000 (buku tu) kisha unaweza kuwa milionea.

 

Unatakiwa kubeti mechi 13 lakini kuna 3 za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe katika orodha hiyo kwa dharura endapo itatokea kati ya zile 13 za awali kuna mechi haikufanyika au haikum-alizika, zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.

Ikitokea umekosea kubeti michezo kadhaa bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha. Mgawanyo sahihi wa fedha za ushindi kwa mechi utakazopatia upo hivi:

 

 

Mechi Fedha utakazopata

13/13 Sh 100,000,000

12/13 Sh 5,000,000

11/13 Sh 2,000,000

10/13 Sh 1,000,000

9/13 Atashiriki bure

Jackpot inayofuata

===

Sare ya Stars na Malawi Mayanga Anena Jambo

Leave A Reply