The House of Favourite Newspapers

Sokabet: Wikiendi Ya Kushinda Mamilioni Ni Hii Hapa

SOKABET ni kampuni inayojihusisha na mchezo wa kubashiri matokeo ambayo huduma zake ni za kiwango cha juu tofauti na makampuni mengine ya kubashiri matokeo (kubet) nchini.

 

Kampuni ya Sokabet inakuwezesha kubashiri matokeo kupitia tovuti yake ya www.sokabet.co.tz na unaweza kuvuna fedha nyingi hadi milioni 100 kwa kubet kwa shilingi 1000 (buku tu).

 

KUJIANDIKISHA NI BURE

Ingia www.sokabet.co.tz bonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

Rejea sehemu iliyoandikwa ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.

Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

 

KUINGIZA FEDHA & KUBETI

Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

Ingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, malizia kwa kuingiza namba yako

 

siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

 

NAMBA YA BAHATI 335757

Washiriki ni wenye umri wa kuanzia miaka 18 na zaidi, kumbuka namba 335757 ambayo ni ya kampuni ndiyo iitakuwezesha

 

kuingiza mamilioni ndani ya muda mfupi.

SIYO SOKA TU

Michezo unayoweza kubet ndani ya Sokabet ni mingi, baadhi ni: American football, baseball, kikapu, kriketi, golf, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

SHINDA SH 100M KWA BUKU TU

Buku tu itakuwezesha kushinda Sh milioni 100 katika kipengele cha Sokabet Jackpot.

SOKABET JACKPOT NI NINI?

Hiki ni kipengele ambacho unapewa idadi ya mechi ubet, ukipatia zote unapata hadi Sh 100m. Ndani ya Sokabet utatakiwa kubatia matokeo ya mechi 13 tu.

Lakini idadi ya mechi za jumla ni 16, huku hizo 3

 

za nyongeza zikiwa ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Mechi 3 za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

HATA UKIKOSEA UNAPATA MKWANJA

Ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 watapatiwa Sh milioni 5, watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2, mechi 10 watapata Sh 1,000,000, mechi 9 wao watapata nafasi ya kushiriki bure Jackpot inayofuata.

SH 200 INAKUJAZA MAMILIONI

Ukishaingiza fedha katika akaunti yako, unaweza kubeti hata ukiwa na shilingi 200 tu.

LUGHA YA KISWAHILI

Ndani ya www.sokabet.co.tz unaweza kuchagua lugha unayotaka kutumia kati ya Kingereza au Kiswahili. Kuchagua lugha fungua tovuti kisha upande wa kulia juu bonyeza sehemu iliyoandikwa ‘Language’. Kwa msaada zaidi wasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654705555.

Comments are closed.