The House of Favourite Newspapers

Soma meseji za Lola na Anita za kuwapa pongezi P-square

0

HHHHH Lola-Omotayo-Okoye-1Lola Okoye.

JANA Novemba 18, 2015 ilikuwa siku nzuri kwa wake wa mastaa pacha wanaounda kundi la P-Suare, Lola na Anita Okoye kwa kuwatumia meseji nzuri za kuwapa pongezi katika siku yao ya kuzaliwa.

Kupitia kurasa zao katika mtandao wa Instagram mapema alianza mke wa Peter, Lola Okoye katika kuandika meseji tamu zilizosomeka;

“Kwa mpenzi wangu wa maisha, mfalme wa ndoto zangu, chokolate wangu, mpenzi wangu, kifaa changu, baba wa watoto wetu wazuri nasherehekea siku yako leo. Heri ya kuzaliwa mume wangu kipenzi.

anizyAnita Okoye.

Kisha baada ya hapo aligeukia kwa Paul na yeye kumpa pongezi kwa kifupi tu.
Mara baada ya Lola kumtakia mumewe Peter heri ya kuzaliwa, mke wa Lola naye aliutumia ukurasa wake wa Instagram kwa kumtakia heri ya kuzaliwa, Paul ambapo aliandika;

“Furaha, heri ya kuzaliwa mpenzi wangu wa maisha, kipenda roho changu. Siwezi kuamini hii baada ya kupita muongo, bado upo katika ubora wako kwangu tangu tulipokutana siku ya kwanza.

Leave A Reply