The House of Favourite Newspapers
gunners X

Soul Food: Nabii Elisha, Joachim Wafanya Maombi Ya Shukurani -Video

0
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Jesus Miracle Power Nabii, Dr.Joachim.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Jesus Miracle Power Nabii, Dr.Joachim Kimanza ambaye pia ni rais wa Manabii Tanzania, pamoja na Nabii Elisha Muliri wa huduma ya Ebenezer Gospel Church iliyopo Kinondoni jijini Dsm wameshiriki kwenye kipindi Cha Soulfood kinachorushwa kupitia +255 Global Radio ambapo leo Juni 7, 2020 ilikuwa siku maalumu ya Shukrani kwa Mungu na maombi kwa ajili ya Rais Magufuli na Taifa kwa ujumla.

 

 

Leave A Reply