Spices Africa tupike pamoja
Tunathamini umuhimu wa viungo katika chakula sio kwa kuleta ladha na muonekano mzuri tu bali muhimu virutubisho vinavyopatikana katika viungo hivyo.
Kwa kutambua usumbufu anaopata mpishi katika kutayarisha viungo hivi tumaemua kumpunguzia kazi za jikoni na usumbufu huo kwa kumletea viungo vya chakula vilivyotayarishwa tayari ili kupika chakula kitamu chenye ladha iliyokusudiwa na kwa muda mfupi.
Vitunguu swaumu vilivyomenywa/kusagwa tayari( Peeled/Minced Garlic)
1kg Tsh 14,000
1/2 Kg Tsh 7,000
1/4 Kg Tsh 4000
Tangawizi iliyomenywa na Kusagwa ( GInger Paste)
1Kg Tsh 5000
1/2 kg Tsh 3000
1/4 kg Tsh 1500
Tunakuleta popote , Wasiliana nasi kwa namba +255 (0) 762 420 578,0763264442. [email protected]
Napenda sana kupikia viungo ila usumbufu wa kumenya vitunguu saumu na kuponda tangawizi ni mkubwa kwa kweli ntawatafuta