The House of Favourite Newspapers

Spika Awaapisha Wabunge Chadema Waliyotimkia CCM – Video

Leo Novemba 15, 2018, Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake jijini Dodoma.

 

Kabla ya kuanza kwa maswali na Majibu, Spika Ndugai akawaapisha wabunge wapya waliochaguliwa na wananchi kufuatia chaguzi za marudio.

 

Wabunge waliokula viapo ni Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya, Joseph Mkundi wa Ukerewe pamoja na Marwa Chacha wa Serengeti, ambao hawa wote walijiuzulu nafasi zao za Ubunge wa kuhama Chama kutoka Chadema na kujiunga na CCM.

VIDEO: Shuhudia Tukio Hilo

Comments are closed.