The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: COULIBALY ataibeba SIMBA kimataifa

Kipindi cha Spoti Hausi kitakuwa tena hewani leo ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mengi, lakini baadhi ya uwezo ulioonyeshwa na beki wa Simba Zana Coulibaly ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuibeba timu hiyo. Pia muendelezo wa Ligi Kuu Bara, Ligi Kuu England pamoja na sababu za kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kwenye kikosi cha United, lakini pia leo Spoti Hausi tutakuwa na mchezaji bora wa mchezo wa kikapu Tanzania, Amin Mkosa.

Comments are closed.