The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: Fedha za BOBANI apewe YONDANI – VIDEO

Spoti hausi leo tena ipo hewani na wachambuzi wako watakuletea mambo mengi, watakutelea kuhusu usajili wa Yanga unaooendelea, lakini pia jambo pekee ambalo linaonekana kuwa tofauti ni Yanga kutaka kumsajili Boban wakati.

Mbali na hilo, wachambuzi watakueleza kuhusu michezo ya kimataifa ya Simba na Mtibwa ambao wanaanza ugenini.

Comments are closed.