Spoti Hausi Live: Bocco Atangazwa Kuwa Mfungaji Bora VPL
Spoti Hausi wachambuzi wako wanaazungumzia mambo mbalimbali kutokana na mbio za ubingwa Tanzania Bara, mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, faida ya ujio wa rais wa Fifa nchini Tanzania.
Lakini watachambua pia na kugundua kwanini wachezaji wengi wa Yanga ndiyo wanapata majeraha mara kwa mara? Na mambo mengine mengi, Usikose.
Pia kampuni ya simu ya TECNO Mobile Limited ambayo ni mdhamini wa kipindi hiki, itamwaga zawadi za kutosha wakati wa kipindi hicho zikiwemo jezi za Man City, mpira na simu mpya aina ya Tecno Camon CM. Kazi ni moja tu Comment na andika namba yako ya simu.
Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi kupitia ===> Global TV Online


Comments are closed.