Spoti Hausi: Madee Atoa Mkwanja kwa Arsenal Imsajili Aubameyang

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Leo mgeni wetu ni Rapa Hamad Ally ‘Madee’ ambaye amefunguka mengi kuhusu soka la Bongo na Ulaya sambamba na ushabiki wake kwenye timu zinazocheza Ligi Kuu Tanzania Bara na Uingereza:-
-Madee atafunguka jinsi alivyotimuliwa Jukwaa la Yanga.
-Madee ataelezea ushabiki wake na kwa Niyonzima.
-Madee atafunguka kwanini anamuunga mkono Wenger.


Comments are closed.