LIVE SPOTI HAUSI: Mastaa Simba, Yanga Wanaidharau SportPesa (Video)

WIKIENDI iliyopita tulishuhudia Gor Mahia ya Kenya ikiandika historia ya kuchukua Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa miaka miwili mfululizo huku Simba na Yanga zikijikuta zikiambulia patupu.

Sababu kubwa ya timu hizo kongwe za Simba na Yanga kushindwa kuchukua ubingwa huo ni kutokana na wachezaji wake kudharau michua no hiyo mikubwa ambayo bingwa anachukua dola 30, 000 (sawa na shilingi milioni 65). mwisho

Toa comment