The House of Favourite Newspapers

SPOTI HAUSI: Viungo YANGA Watakaoiua SIMBA Hawa Hapa! – VIDEO

KIPINDI cha Spoti Hausi leo kipo tena hewani ambapo wachambuzi wako watakuletea mambo mbalimbali kuhusu mechi ya Simba na Yanga.

Wachambuzi mahiri wamechambua kwanini Yanga wanaweza kushinda mchezo huu na kwanini wanaamini Simba wanaweza kushinda, usikose leo saa 10 kamili.

Comments are closed.