SPOTI XTRA LAMTEMBELEA MWENYEKITI WA TAWI LA YANGA

Mwenyekiti wa tawi  la Yanga Tabata, Baraza Hasan Baraza  Kushoto akisikiliza maelekezo kutoka kwa Ofisa Mauzo wa kampuni ya Global Group, Charles Mpozi maeneo ya Tabata leo.

Maofisa mauzo wa Kampuni ya Global Group Bilaly Songoro kushoto pamoja na Charles Mpanzi kulia wakiwa na Mwenyekiti wa tawi la Yanga la Tabata mzee Baraza Hassan Baraza katikati baada yakutembelewa eneo lake la kazi na kujipatia gazeti la SpotiXtra, maeneo waliyotembelea Maofisa wa Global Group ni pamoja na Karume sokoni, Tabata mabibo sokoni na maeneo yenye makusanyiko wa watu lengo ni kugawa vipeperushi na kuchukua maoni ya wasomaji wetu wa magazeti yote pia na sport xtra na kuangalia hali ya Soko

Loading...

Toa comment