Spoti Xtra Lazidi Kuchanja Mbuga za Burudani Jumapili
KAMA kawaida ya siku za Jumapili, gazeti maarufu la Spoti Xtra liliendelea kuchangamkiwa na wananchi kutokana na habari zake mbalimbali za michezo na burudani ambapo timu nzima ya gazeti hilo ilipita Magomeni, Tabata, Segerea, Ukonga, Gongo la Mboto na kumalizia Uwanja wa Taifa ambako wananchi walilinunua kwa wingi.
Katika vuguvugu la kulipenda gazeti hilo, wasomaji waliomba liongeze nakala kwani kila mara linawahi kwisha mapema na kushindwa kuwafikia wasomaji wa maeneo mengine mengi katika jiji hili na sehemu mbalimbali nchini.
USIKOSE KUJIPATIA NAKALA YAKO YA SPOTI XTRA AMBALO LIKO MTAANI KILA JUMAPILI AMBAPO LIMESHEHENI UHONDO WA MICHEZO NA BURUDANI KWA SH. 500 TU.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
Comments are closed.