The House of Favourite Newspapers

Spoti Xtra Lilivyokimbiza Viunga vya Jiji la Dar Jana

Gazeti jipya la michezo linaloongoza kwa ubora la Spoti Xtra kama kawaida yake jana Jumapili liliendelea kukimbiza ambapo kikosi cha idara ya mauzo kilisambaza gazeti hilo viunga kadhaa vya jiji la Dar ambapo wasomaji waligombea nakala zake na kuomba gazeti hilo lisambazwe kwa wingi zaidi ya kasi iliyopo.

 

 

Wasambazaji hao pia waliwazawadia zawadi mbalimbali wasomaji walionunua gazeti hilo ambao pamoja ubora wa gazeti hilo nao walipata nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu gazeti hilo, maoni  ambayo yalichukuliwa ili kufanyiwa kazi.

 

 

Spoti Xtra ambalo linatoka kila Jumapili ni gazeti dada na gazeti kongwe la Championi ambalo hutolewa kila Jumamosi, Jumatatu, Jumatano na Ijumaa.

Na Richard Bukos

Comments are closed.