The House of Favourite Newspapers

Spoti Xtra Ndiyo Habari ya Mjini, Watu Wanaibuka Washindi Kirahisi – Video

Gazeti bora la michezo Tanzania, Spoti Xtra linazidi kugawa zawadi za Headphone za Beats by Dre Original kutoka Marekani na jezi za timu za Ligi Kuu England kwa wasomaji wake kila wiki.

 

Leo Alhamisi kupitia kipindi cha michezo cha Spoti Hausi kinachorushwa na Global TV Online, kama ilivyo ada, droo maalum ya kuwapata washindi wa shindano la Spoti Xtra ilichezeshwa kama inavyoonekana kwenye Video hii.

Comments are closed.