The House of Favourite Newspapers

SPOTI XTRA SASA HALISHIKIKI MITAANI

Ofisa wa Usambazaji wa Magazeti ya Global, Anthony Adam (kulia) akimuelezea jambo msomaji wa Gazeti la Spoti Xtra  jinsi ya kujishindia zawadi mbalimbali kupitia shindano lililopo kwenye gazeti hilo.

 

Kikosi kazi cha idara ya masoko ya  Global Publishers jana kiliingia mitaani kulinadi  gazeti la Spoti Xtra linalotoka kila siku ya Alhamisi na Jumapili ambapo wasomaji walikuwa wakiligombea gazeti hilo.

 

Kikosi hicho kilipita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar kuanzia maeneo Ferry, Kivukoni, na maeneo ya Kigamboni ikiwemo Kibada, Maweni, Kongowe mpaka Mbagala.

Maeneo yote hayoi wasomaji walionekana kulichangamkia gazeti hilo.

Wasomaji wa Kigamboni jijini Dar es Salaam wakipata burudani ndani ya Spoti Xtra.
Mmoja wa maofisa wa Global (wa pili kutoka kushoto) akiwaelekeza jambo wasomaji.  
Muuza nyama akisoma Gazeti la Spoti Xtra.
Ofisa wa Spoti Xtra akiwaelekeza jambo msomaji.

 

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.