SPOTI XTRA WAGAWA TIKETI KWA MASHABIKI WA SIMBA LEO
Leo timu ya Spoti Xtra ilitua katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa kati ya Simba na Nkana FC ya Zambia na kugawa tiketi kwa mashabiki wa Simba ambao walinunua gazeti la Spoti Xtra na kujaza kuponi inayopatikana ukurasa wa pili ndani ya gazeti na walichezesha droo ndogo ili kuwapata washindi ambao walipewa tiketi za kuingia kuona mchezo huo ambao Simba wameibuka naushindiwa mabao 3-1.
Comments are closed.