SpotiHausi Live: Chuji Afunguka Alivyoipandisha Coastal VPL
-Chuji ameweka wazi kuwa, ingekuwa uamuzi wake, mpaka sasa mshambuliaji wa Yanga, raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma, angekuwa keshaondoka klabuni hapo.
Pia kampuni ya simu ya TECNO Mobile Limited ambayo ni mdhamini wa kipindi hiki, itamwaga zawadi za kutosha wakati wa kipindi hicho zikiwemo jezi za Man City, mpira na simu mpya aina ya Tecno Camon CM.
Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi kupitia ===> Global TV Online
Comments are closed.