The House of Favourite Newspapers

Spurs Yamtimua Kocha Nuno

0

KLABU ya Tottenham Hotspur imethibitisha kuvunja mkataba na kocha wake mreno Nuno Espírito Santo baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.

 

Kufukuzwa kwa Nuno kumechangiwa na kipigo cha mabao 3-0 walichopata jumamosi dhidi ya Manchester United. Nuno amedumu Klabuni hapo kwa miezi minne,.

 

Kwenye msimamo wa EplSpurs inashika nafasi ya nane, ikiwa na alama 15 baada ya kucheza mechi 10 k. Antonio Conte anapigiwa chapua kurithi mikoba ya Nuno.

Leave A Reply