The House of Favourite Newspapers

St Mary’s: Shule Mama Kwa Utoaji Wa Elimu Ya Kingereza – Video


Shule zinazofundisha kwa kufuata mitaala ya kingereza au English Medium zinazidi kuongezeka nchini, wazazi wenye kipato na wanaojali ubora wa elimu , hupendelea zaidi kuwapeleka watoto wao kwenye shule za English Medium.

 

Unapozungumzia historia ya Shule za English Medium Tanzania, hutaacha kuizungumzia shule za St Mary’s ambazo ndizo zilikuwa shule za mwanzo mwanzo kabisa kufundisha kwa kufuata mtaala wa Kingereza na mpaka sasa zinaendelea kufanya vizuri.

 

St Mary’s Mbeya : 0713 435 776
St Mary’s Dodoma : 0718 088 834
St Mary’s Morogoro : 0713 212 911
St Mary’s Mbezi Beach :0654 994 193
St Mary’s Mbagala : 0713 427 641
St Mary’s Tabata : 0754 428 183
East Africa International : 0713 217 898

Pia Unaweza Kuwatembelea kwenye mtandao wa Instagram kwa anuani ya @st.marys_schooltz

Comments are closed.