ST. MATTHEW YAFANYA MAAJABU MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019

Shule ya St. Matthew yafanya maajabu matokeo ya kidato cha sita wanafunzi wote wanaenda Chuo Kikuu hakuna Divison 4 Wala Ziro. Mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema kuwa wapania kuongoza Taifa

Hii ni baada ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Charles Msonde Julai 11, 2019 mjini Unguja Zanzibar ametangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019  na kusema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 98.32 mwaka 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 0.74.


Loading...

Toa comment