Stars Chali, Sudan Yasonga Mbele Kufuzu Chan 2024
Timu ya taifa ya Tanzania leo Novemba 3, 2024 imepoteza kwa mkwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Sudan kwenye mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2024.
Kwa matokeo hayo Sudan wamesonga mbele na Tanzania watashiriki fainali hizo kama wenyeji sambamba na Nchi za Kenya na Uganda.
FT: Tanzania – Sudan (Agg 1-1, Pen 5-6)
Chrispine Ngushi 34’