Stars Vs Bafana Bafana Nani Kuibuka Mbabe Usiku wa leo
Usiku wa leo, macho ya wapenzi wa soka yataelekezwa kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, mjini Polokwane, Afrika Kusini, ambapo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itavaana na Bafana Bafana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Mpambano huo unatarajiwa kuanza saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Macho ya wabashiri wote yapo kwenye mchezo huu uliopewa odds za kutosha kutoka Meridianbet.
Ingawa mechi hii ni ya kirafiki, pande zote mbili zimeweka wazi kuwa wanaitumia kama sehemu ya maandalizi muhimu. Kwa Tanzania, mchezo huu ni sehemu ya mikakati ya Kocha Hemed ‘Morocco’ Suleiman katika kuandaa kikosi kwa ajili ya mashindano ya CHAN yanayotarajiwa mwezi Agosti, na pia kuelekea mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwezi Septemba. Wabashiri wote wanakumbushwa kuwahi pale Meridianbet ili waweze kufanya bashiri ya mchezo huu uliopewa machaguzi mengi sana.
Katika kikosi cha Taifa Stars, kuna mchanganyiko wa vipaji kutoka ndani na nje ya nchi. Wachezaji wanaotarajiwa kuleta uzoefu wa kimataifa ni pamoja na Simon Msuva (Al Talaba – Iraq), Selemani Mwalimu (Wydad AC – Morocco), na Alphonce Mabula (Shamakhi – Azerbaijan).
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Mchezo huu pia ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya CECAFA, huku mashabiki wa soka wakisubiri kuona kiwango cha kikosi hiki kijacho.
Katika historia yao ya kukutana, Tanzania na Afrika Kusini zimewahi kutunishiana misuli mara tatu, mwaka 2002 zilitoka sare ya 1-1, 2011 Bafana Bafana walishinda 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki, na mwaka 2017 Taifa Stars walipolipiza kisasi kwa kuibuka na ushindi wa 1-0 katika michuano ya COSAFA.
Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa na wenye burudani, huku Taifa Stars ikisaka kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya wenyeji wao. Mashabiki na wabashiri wote wanakaribishwa kujisajili na kuweka bashiri zao na Meridianbet kuelekea mchezo huu.