The House of Favourite Newspapers

STEVE NYERERE Achomoa Kumuoa Wellu

Steven Mengere ‘Steve Nyerere’

KITENDO cha msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuzaa na mwigizajimwenzake Wellu Sengo hakimaanishi kwamba ni lazima amuoe, Amanilimeinyaka.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni baada ya kuulizwa swali kama ana mpango wa kumuoa Wellu kufuatia kuwepo kwa madai kwamba ameachana na mkewe, Nyerere alifunguka kuwa, mipango hiyo haipo.

“Ni kweli nimezaa na Wellu, nawashangaa wanaosema nimeachana na mke wangu kwa ajili ya Wellu sio kweli, mke wangu yupo nyumbani na hatuna tatizo lolote, na watu wajue tu kwamba kuzaa na mtu sio kuoa hivyo sidhani kama nitamuoa Wellu,” alisema Nyerere.

 

 Stori: Memorise Richard

Comments are closed.