STEVE NYERERE: PAULA Amefeli / Msinifananishe na MANARA – Video

Muigizaji wa Bongo Movie, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’, amesema yeye ni ngoma nzito hivyo watu wasimfananishe na Msemaji wa Klabu ya Simba, haji Manara, kwakuwa bado ni mtoto mdogo.

 

Steve Nyerere ameongea maneno hayo kwa utani akiwa Hyatt Regency katika usiku wa Manara alipokuwa akizindua pafyumu yake inayoitwa De Le Boss sambamba na taasisi yake ya Haji Manara Foundation.

 

Aidha, Steve amewataka Watanzania kuacha kumzodoa mtoto wa muigizaji Kajala, Paula kwa kupata matokeo mabaya kwenye mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne, badala yake wamtie moyo.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment