The House of Favourite Newspapers

Stone Town: Kisiwa cha Zanzibar (Live Now On Global TV Online)

0

GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA ambacho kinaonesha maisha ya wanyama kutoka mbuga za Wanyama za Tanzania za Serengeti, Ngorongoro na kwingineko.

Ni kipindi maalum cha kutangaza Utalii wa Ndani, ambao ni kielelezo tosha cha utajiri asilia wa nchi yetu Tanzania.

Leave A Reply