The House of Favourite Newspapers

Sukari ya Zanzibar Yaibuka Tena Bungeni, Wabunge Wambana Waziri – VIDEO

BAADHI ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamembana Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Charles Mwijage kuhusu sakata la sukari ya kutoka kiwanda cha Mahonda, Zanzibar kuzuiliwa kuingizwa na kuuzwa Tanzania Bara wakati sukari inayotoka bara inauzwa hata Zanzibar.

Waziri Mwijage ametolea ufafanyzi jambo hilo, na haya ndiyo majibu yake kwa wabunge na Watznania wote wenye dukuduku kuhusu skata hilo.

Comments are closed.