Sungusungu Wafanya Mauaji ya kutisha, DC Sabaya ”Polisi Hawatalala” – VIDEO

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai, Ole Sabaya, amehudhuria mazishi ya kijana, Godwin Exaud, katika kijiji cha Mashare Machame aliyeuawa na sungusungu mnamo Januari 9, 2019 ambapo sababu za kuuawa kwake Bado hazijajulikana.

DC Sabaya Amewaahidi wananchi waliohudhuria mazishi hayo kuwa Serikali itawatafuta watu wote walio husika na mauaji hayo na Itawachukulia hatua za Kisheria.

Marehemu Godwin amezikwa leo Januari 11, nyumbani kwao Mashare Machame.

Loading...

Toa comment