‘Surprise’ ya Okwi Yaamsha Shangwe Dimba la Mkapa

‘Surprise’ ya mchezaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi iliamsha shangwe kwa maelfu waliofurika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Okwi leo Septemba 19, kwenye Tamasha la Simba Day

 

Okwi pia amedokeza  kuwa leo amekuja kama mshabiki kwa mwaliko maalum wa Mwekezaji wa Simba Mohamed Dewji.

 

Mchezaji huo kipenzi cha wana-simba, amegusia kuhusu kurejea msimbazi na kusema dirisha dogo haliko mbali chochote kinaweza kutokea, simba itajitupa uwanjani kumenyena na T.P Mazembe ya DRC kwenye Mchezo wa kirafiki ikiwa leo ni Simba Day.


Toa comment