The House of Favourite Newspapers

Swala ya Idd el Haji ilivyofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke

0

Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Waislam wa Tanzania leo waliungana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Idd El Haji.

Swala ikifanyika kwa unyenyekevu mkubwa.

Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.

Sheikh Othman Dishi akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa swala hiyo.

Wanawake na watoto wakiwa kwenye swala hiyo.

Mazuria ya kuswalia yakitandikwa kabla ya kuanza ibada.

Ibada ya swala ya Idd El Haji ikiendelea.

 

Leave A Reply