The House of Favourite Newspapers

Taarifa Rasmi ya Ikulu Kuhusu Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – VIDEO

0

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya Kilimo na Mifugo, Nishati na Madini na kuongeza wizara mpya mbili na kufikisha jumla ya wizara 21. Katika Mabadiliko hayo, Mawaziri wawili na manaibu waziri wameongezwa.

VIDEO YA RAIS MAGUFULI AKITANGAZA MAWAZIRI

Leave A Reply