Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU Yafika kwa Rais Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Mgufuli akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola akitoa muhtasari wa Taarifa ya Utendaji kazi wa Takukuru mwaka 2015/2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam


Loading...

Toa comment