The House of Favourite Newspapers

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Kuanzisha Kambi Maalum Matibabu ya Watoto

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mishipa ya Damu, Bashir Nyangasa akizungumza na wanahabari

Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mishipa ya Damu, Bashir Nyangasa amesema:

Katika kambi hii ambayo tutashirikiana na wenzetu kutoka Taasisi ya Healing Little Heart ya jijini London nchini Uingereza na tunatarajia kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 12.”

Tunawaomba wananchi waendelee kuchangia damu kwani wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji wa moyo wanahitaji kuongezewa damu wakati wanapatiwa matibabu, kwa mtu mmojammoja au kikundi cha watu ambao wanapenda kuchangia damu tunawaomba wafike Taasisi ya Moyo iliyopo Muhimbili mkabala na maabara kuu au wawasiliane nasi kwa namba 022-2151379 au 0713304149.

Na Denis Mtima/ GPL

 

Comments are closed.