The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

ACT wazalendo

Membe Abwaga Manyaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho, Bernard Membe, ametangaza rasmi jana Desemba Mosi kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama hicho. …

Sakata la Membe Kudaiwa Kuondoka ACT-Wazalendo

BAADA ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni zinazodai kwamba aliyekuwa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, kuwa atajitoa katika chama hicho Januari Mosi, mwakani, uongozi wa chama hicho umesema haupo tayari kuzungumzia…

Rais Mwinyi Amteua Maalim Seif

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Uteuzi huo umeanza jana Disemba 6, 2020. Hii imekuja baada ya Chama cha…

ACT Wazalendo Waja na Vipaumbele 10

Chama cha ACT-Wazalendo leo Agosti 31, 2020 kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020 ikiwa na vipaumbele 10 vyenye majibu ya changamoto mbalimbali za Watanzania. Chama hicho kimezindua ilani hiyo itakayowawezesha wagombea urais,…

Membe Achukua Fomu Kuwania Urais

WAZIRI mstaafu wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  leo mchana  Ijumaa, Julai 17, 2020, amechukua fomu ya kugombea urais kupitia chama cha ACT-WAZALENDO ikiwa ni siku moja tu baada ya kupokewa rasmi kwenye hicho. Amechukua fomu hiyo…

Maalim Seif: Nimepindua Meza CUF

DAR: Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamadi amesema kutokana na misingi aliyoijenga kwa wafuasi wake visiwani Zanzibar, amefanikiwa kukipindua Chama cha Wananchi (CUF) visiwani humo kwa asilimia 100.…

Zitto Kabwe Achukua Fomu

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea tena nafasi hiyo kwa muhula mwingine. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Zitto amesema ameamua…