Mrembo yamkuta mazito India, afa
Mariamu Salum akiwa hospitali.
Stori:Gabriel Ng’osha na Gladness Malya, Wikienda
DAR ES SALAAM: Inauma sana! Mrembo wa Kibongo, Mariamu Salum (29) yamemkuta mazito akiwa nchini India baada ya kuugua na kufariki dunia kufuatia kutelekezwa…
