Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON – Video
Dakar, Senegal — Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya taifa ya soka, Teranga Lions, katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Katika tangazo…
