Netanyahu Ampinga Trump, Akosoa Bodi ya Amani Gaza
Kiongozi wa Israel, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ameongoza mkutano wa dharura na washauri wake wakuu wa kisiasa na kiusalama kujadili mpango mpya wa Rais wa Marekani Donald Trump unaoitwa “Bodi ya Amani” kwa Gaza, baada ya Israel…
