#GlobalUpdates: Instagram Kuruhusu Posts Za Picha, Videos Mpaka 10 Kwa Wakati Mmoja!
Kwa wale watu wangu ambao hupata wakati mgumu kuchagua picha ama video gani ya kupost Instagram, usijali Instagram wana solution kwa ajili yako: Zipost zote, kwa wakati mmoja!
Leo nimetembelea mtandao wa Instagram na kuona kuwa…
